Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
-
- #21
na hilo povu lako la sabuni ya mkopo khaaa langu la sabuni ya cashHuyu mtoa mada inawezekana alipigwa chini mapemaaa kwenye hatua za awali za mchujo wa ulimbwende kitaani kwao. Sio kwa povu hilo.
Anyway, kama huyo kwenye avatar ni wewe basi hustahili hata baiskeli ya GUTA.
There are something behind Waandaaji na mnaoratibu zawadi za mamiss ninyi ni wanyonyaji wakubwa sana
Very shame Hiyo gari ingekua mimi ningekataa
hiyo ni kwelSio dharau ila ndio ukweli, si umeona hata Uncle Lundenga hakuwepo kwenye makabidhiano? Hii ni mara ya kwanza tangu mashindano ya asisiwe, hata zamani wakati wanatoa miche ya sabauni kama zawadi alikuwa anahudhuria hafla..Huyu binti kwa kweli ni msala tu hana bahati kama Muhongo.
hahaahaMkuu; Aksante kwa kutujulisha kuwa hata hii lugha ya malkia haupo mbali. Nadhani ikitokea akija kwetu Donald Trump hata weye utawekwa mstari wa mbele kukutana naye.
Umewashinda wenye Phd mkuu.
Angalia ulivyo tiririka bila hofu mkuu. Umemzidi mkulu kwa kweli. Ohh! Very shame!!! Hata ningepewa nafasi ya kuwatuza hao ma miss, usingelipata hata zile tairi za hilo gari wewe. Kwa sauti yako mwenyewe; Very shame. HUIPATIIIIII
nakojooooaaaaaaaaaaGari likipita barabarani utadhani ni gari la kuuzia dawa za asili, au shampoo za kuoshea masink ya choo....
Shubaaamit!
Unaishi Germany?Binadam bhana,,,
Hawa waandaaji na wasimamizi wa masuala ya miss Tanzania mpo serious kweli?
Gari gani mmepa binti wa watu? Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea
Gari imejaaa matangazo halafu gari yenyewe sasa mhhhh hata hata bure haki sipokei
Mnaodeal na zawadi za mamiss ni wanyonyaji wakubwa tena wadhalilishaji wa mabinti za watu
Inatia kinyaa sana aisee very bad Ifike mahali mbadilike muache ukakasi wenu
Yaani diana ni mvumilivu sana haki vile mbali na gari kaa box la juice kuna kipindi cha mashindano ya miss world walikua wanamkwamisha kwamisha binti wa watu
There are something behind Waandaaji na mnaoratibu zawadi za mamiss ninyi ni wanyonyaji wakubwa sana
Very shame Hiyo gari ingekua mimi ningekataa
mpovu wa sabuni ya bukuuu hhahaaaKwa msura wako huo utazalishwa na huyu[emoji116][emoji116]
View attachment 514195
kwani uwongoo??ok ni kweli kwamba gari ni ya thamani ndogo plus matangazo..............ila unaposema eti ungekuwa wewe hiyo gari hata bure usingepokea mmmh!!!!
hahahaa kwann?Unaishi Germany?
Mkuu uyu jamaa si mchicha pori?Huyu mtoa mada inawezekana alipigwa chini mapemaaa kwenye hatua za awali za mchujo wa ulimbwende kitaani kwao. Sio kwa povu hilo.
Anyway, kama huyo kwenye avatar ni wewe basi hustahili hata baiskeli ya GUTA.
Wamechukua muda mrefu kumsoma ndio maana wamempa gari kama ile, yaani wamefanana na gari yake ile gari wasingeweza kumpa Wema, Nancy..ndio maana hata Lundenga hakutokea na ninadhani walimchugua kwa kujua kuwa hawana zawadi ya maana ya kumpa mshindi.
Sio gari ni mkweche boksi la juiceAcha dharau kwani ile siyo gari ,,,,mpongezeni mama aliyejitolea kuliko angekosa kabisa
hasira za kutoswa hizo...povu jingii..
haki ile gari hata kuomba lift sisubutuHii hapa....mkweche si mkweche
guta si guta
mkokoteni si mkokoteni
Gari lina mirangi rangi kama gari la "Coral Paints"
au lile la kusambazia chakula kariakoo .
Hta gari linalokuwa lina milkiwa na "mwana mteja" linakuwa na chata kiasi
sio nyingi kama huu mkorogo.
View attachment 514202View attachment 514203View attachment 514205View attachment 514204
hahahaaSio gari ni mkweche boksi la juice
Naunga mkono hojaWeka picha
Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea