Gari aliyopewa miss tanzania hata bure sipokei

Wamechukua muda mrefu kumsoma ndio maana wamempa gari kama ile, yaani wamefanana na gari yake ile gari wasingeweza kumpa Wema, Nancy..ndio maana hata Lundenga hakutokea na ninadhani walimchugua kwa kujua kuwa hawana zawadi ya maana ya kumpa mshindi.
Kwa kweli kafanana na Gari yake.
 
kwa muonekano wa huyo Miss Tanzania anastahili kabisa hiyo gari aliyopewa ndio maana mwenyewe ajalalamika popote.
 
huyu jamaa amebadili Id au hii ni nyingine tena!!!
 
Sasa gari ni la miss Tz wewe unaingilia ya nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…