Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Ndg kumbe haya magari ya automatic ni hatari tofauti na tunavyojua.Gari ikakatika Belt(kuna mkanda fulani wa kuzungusha injini) inagoma ku-function chochote kunzia moto,break na usukani. Option mbili zinazobaki ni Hand Break au Parking. Sasa kwa wazoefu hapa mtu afanye nini? Juzi nimepoteza jamaa yangu kwa sababu hii.gari lake lilikatika Belt akiwa anateremka mlima ukawa mwisho wake.
Naomba wajuzi wa automatic watujuze.
NB:Mafundi waliotazama hilo gari wameshauri kuwa siku hizi wamiliki wa magari ya automatic wameanza kufanyia service BELT pekee maana inaonesha ni chanzo cha vifo vingi.