Gari automatic kukatika Belt uiteremka mlima kwa speed ya 50K/hr unafanyaje?

Gari automatic kukatika Belt uiteremka mlima kwa speed ya 50K/hr unafanyaje?

Sasa mkuu ntajuaje kama gari yangu ina timing belt au timing chain? Au ni mpaka nipeleke kwa fundi akaangalie?
 
Ninachoweza kukushauri ni kwamba badilisha hiyo timing belt kila mwaka au kila km 100,000. na kama umenunua gari lililotumika basi kwa uhakika zaidi badilisha hiyo belt.
Kila mwaka ni too much aise. Labda kama anaweka timing belt fake. 60,000 to 100,000 ni sawa. Ila brakes zinashika. Sema zinakuwa ngumu. 50kps ni ndogo saana. Angeweza kusimama tu. Lazima kulikuwa na shida nyingine.
 
Back
Top Bottom