Gari automatic kukatika Belt uiteremka mlima kwa speed ya 50K/hr unafanyaje?

Au kama kunamtaalamu anaweza shauri njia yakufanya maana hii puller imelegea sana kiasi kufanya fen belt inalegea pia
 
Hizo gari zikizima breki zinarudi Japan
 
Kama gari yako ina ABS timing belt ikikata. ABS itajiwasha na gari itapunguza mwendo pole pole mpaka itakapo simama... sababu ABS inahusiana na system nzima ya gari... hata tyre likipasuka kama gari ina abs ni wewe mwenye kujitahid ku control stearing gari itakuja yenyewe mdogo mdogo mpaka isimame
Asante sana mkuu. Na nitajuaje kama ABS iko active au iko defective?
 
kwani timing belt ikichoka hamna sign yoyote inayo toa warning kwenye dashboard?
inategemeana na aina ya gari mkuu.magari mengine huwa yanakuwa na sign kama mda wa kuchange belt ukifika kuna taa imeandikwa T-BELT itawaka hapo inakuwa inakukumbusha kuwa mda wa kuchange belt umefika.
 
MAGARI YANAYO TUMIA BELT NI YAZAMANI KIDOGO NOW GARI ZINATUMIA TIMING CHAIN.watengenezeji walitambua hilo kuwa timing belt zinakatika sana na wamiliki wa magari wanapata sana hasara kubwa ikiwa na kununua cyrinder head au au engine nyingine ndio maana wakaboresha na kuweka chain.hiyo ni mwendo mdundo.

ndio maana hata stering power za hydroric hakuna tena ni mwendo wa umeme tuu
 
Taa huwa inawaka pamoja na zile taa nyingine za kwenye dashboard na kuzima kama zinavyofanya taa nyingine. Je, unamaanisha kuwa taa ya ABS haitakiwi kuwaka kabisa hata ninapowasha gari?
 
ukiweka switch on taa ya abs huwa ina waka na huwa ina kaa kwa sekunde kama 15 hv inazimika mkuu.lkn huwa inategemeana na aina ya gari. kifupi ukisha iwasha gari engine ikiwa inaunguruma haitakiwi iwake.inatakiwa kuzima kama taa ya oil or charge au check engine inavyozima
 
Asante sana mkuu. You enlightened my brain. Naamini kamkokoteni kangu ni salama. However I think I need to meet experts sooner than later.
 
MAGARI YANAYO TUMIA BELT NI YAZAMANI KIDOGO NOW GARI ZINATUMIA TIMING CHAIN.watengenezeji walitambua hilo kuwa timing belt zinakatika sana na wamiliki wa magari wanapata sana hasara kubwa ikiwa na kununua cyrinder head au au engine nyingine ndio maana wakaboresha na kuweka chain.hiyo ni mwendo mdundo.

ndio maana hata stering power za hydroric hakuna tena ni mwendo wa umeme tuu
Mkuu ina maana gari zenye power sterling ya umeme huwa zina timing chain?

Tofauti ya timing chain na belt ni nini?
 
najua wengi mnachanganya na sio ww tuu na wanajamvi wengi hapa na hata hii mada hapa uchangiaji wa wengi umechanganywa sana juu ya haya mambo mawili?

TIMING BELT huu nimkanda ambao huwezi kuuona kwa macho maana huwa unafunikwa na cover ni kama huwa unakuwa kwandani mbele ya engine na kazi yake huwa huwa unaunganisha mzunguko kutoka kwenye crank shaft na camshaft na baadhi ya gear kama oil pump,water pump.na timing belt kama inavyoitwa huwa inafanya mzunguko au panga mzunguko wa crank shaft ambayo huzungusha piston pamoja na shaft ambazo huwa zinafungua hewa safi na hewa chafu zifanye kazi kwa mpangilio sahihi

FEN BELT nimkanda ambao huwa unakuwa kwa nje mbele ya injini kazi yake kuunganisha mzunguko kutoka kwenye crank shaft pulley na kuvizungusha vitu vingine ili viweze kufanya kazi vitu hivyo kama otoneta,water pump,stering power,rejeta fen,compressor ya AC n.k

mbadala wa timing belt ni timing chain au new model ya timing belt ni timing chain.

nikikujibu kutokana na swali lako nikuwa nawezanikasema ndio au hapana .kwa reson zifuatazo mfumo wa stering ya umeme ni mfumo wa kileo kisasa na timing chain ni kileo hivyo asilimia kubwa kwenye stering power ya umeme utakuta kuna timing chain.

ila sio gari zote zenye timing chain zina power stering ya umeme lakini asilimia kubwa au asilimia zote gari yenye power stering ya umeme zina timing chain.

nahisi utakuwa umenielewa mkuu kama bado uliza
 
Asante mkuu nimekupata sana jee hiyo timing chain yenyewe haibadilishwi kama timing belt?
 
mkuu timing chain hainaga kubadilishwa mpaka engine inakufa labda kutokee na shida au kama unakuwa hauzingatii servirce. timing belt ukipitisha km za kuibadili hukatika lkn timing belt haiwezi katika zaidi zaidi utaifanya ichoke na kusababisha matatizo kadhaa.mfano kuanza kutoa mlio wa ajabu .kwa kuwa chain hulainishwa na oil ikiwa pamoja na tensioner huwa inafanya kazi ya kuikaza chain so oil ikiwa ndogo au usipofanyia servirce kwa wakati basi nimajanga matupu. kwa kuwa pemben chain huwa inashikiliwa na plastic hivyo usipo fanya badili oil kwa wakati huwa zinalika hizo plastic
 
Okay asante mkuu kwa somo lako... kuna fundi alitaka kunila hela eti gari yangu nimefikisha kms laki so nibadilishe timing belt sasa nimesoma kwenye mtandao wamesema honda Fit zote zinatiming chain....
 
najua wengi mnachanganya na sio ww tuu na wanajamvi wengi hapa na hata hii mada hapa uchangiaji wa wengi umechanganywa sana juu ya haya mambo mawili?

TIMING BELT huu nimkanda ambao huwezi kuuona kwa macho maana huwa unafunikwa na cover ni kama huwa unakuwa kwandani mbele ya engine na kazi yake huwa huwa unaunganisha mzunguko kutoka kwenye crank shaft na camshaft na baadhi ya gear kama oil pump,water pump.na timing belt kama inavyoitwa huwa inafanya mzunguko au panga mzunguko wa crank shaft ambayo huzungusha piston pamoja na shaft ambazo huwa zinafungua hewa safi na hewa chafu zifanye kazi kwa mpangilio sahihi

FEN BELT nimkanda ambao huwa unakuwa kwa nje mbele ya injini kazi yake kuunganisha mzunguko kutoka kwenye crank shaft pulley na kuvizungusha vitu vingine ili viweze kufanya kazi vitu hivyo kama otoneta,water pump,stering power,rejeta fen,compressor ya AC n.k

mbadala wa timing belt ni timing chain au new model ya timing belt ni timing chain.

nikikujibu kutokana na swali lako nikuwa nawezanikasema ndio au hapana .kwa reson zifuatazo mfumo wa stering ya umeme ni mfumo wa kileo kisasa na timing chain ni kileo hivyo asilimia kubwa kwenye stering power ya umeme utakuta kuna timing chain.

ila sio gari zote zenye timing chain zina power stering ya umeme lakini asilimia kubwa au asilimia zote gari yenye power stering ya umeme zina timing chain.

nahisi utakuwa umenielewa mkuu kama bado uliza
Somo zuri. Kwaiyo kinacholeta balaa kikikatika wkt gar iko kwene mwendo ni timing belt au fen belt?
 
MAGARI YANAYO TUMIA BELT NI YAZAMANI KIDOGO NOW GARI ZINATUMIA TIMING CHAIN.watengenezeji walitambua hilo kuwa timing belt zinakatika sana na wamiliki wa magari wanapata sana hasara kubwa ikiwa na kununua cyrinder head au au engine nyingine ndio maana wakaboresha na kuweka chain.hiyo ni mwendo mdundo.

ndio maana hata stering power za hydroric hakuna tena ni mwendo wa umeme tuu

Kwa hiyo mkuu, Technology imeamua kurudi miaka 50 nyuma tena ? manake magari ya zamani ndio yalikuwa yanatumia TIMING CHAIN.
 
ndio mkuu.coz chain ni uhakika na usalama zaidi
 
Mkuu kama mm nashangaa nimepaki leo gar vizur home lakini nawasha saivi nitoka ile narudi rives naon gar imebadilika mdy nakuta belt imekatika hapo tatizo ni nini aswaa na gar yangu ni rav4 namb d
 
Back
Top Bottom