Ninachoweza kukushauri ni kwamba badilisha hiyo timing belt kila mwaka au kila km 100,000. na kama umenunua gari lililotumika basi kwa uhakika zaidi badilisha hiyo belt.Ndg kumbe haya magari ya automatic ni hatari tofauti na tunavyojua.Gari ikakatika Belt(kuna mkanda fulani wa kuzungusha injini) inagoma ku-function chochote kunzia moto,break na usukani. Option mbili zinazobaki ni Hand Break au Parking. Sasa kwa wazoefu hapa mtu afanye nini? Juzi nimepoteza jamaa yangu kwa sababu hii.gari lake lilikatika Belt akiwa anateremka mlima ukawa mwisho wake.
Naomba wajuzi wa automatic watujuze.
NB:Mafundi waliotazama hilo gari wameshauri kuwa siku hizi wamiliki wa magari ya automatic wameanza kufanyia service BELT pekee maana inaonesha ni chanzo cha vifo vingi.
Naomba elimu kuhusu ABS na hilo tukioMkuu gari yake haina ABS?
Kama gari yako ina ABS timing belt ikikata. ABS itajiwasha na gari itapunguza mwendo pole pole mpaka itakapo simama... sababu ABS inahusiana na system nzima ya gari... hata tyre likipasuka kama gari ina abs ni wewe mwenye kujitahid ku control stearing gari itakuja yenyewe mdogo mdogo mpaka isimameNaomba elimu kuhusu ABS na hilo tukio
ShukraniKama gari yako ina ABS timing belt ikikata. ABS itajiwasha na gari itapunguza mwendo pole pole mpaka itakapo simama... sababu ABS inahusiana na system nzima ya gari... hata tyre likipasuka kama gari ina abs ni wewe mwenye kujitahid ku control stearing gari itakuja yenyewe mdogo mdogo mpaka isimame
mkuu kuna vitu vingine ni ngumu sana kutoa ushauri harafu ni kama unakiita kifo na kujitakia mwenyewe kama ni timing belt mkuu mpaka ikatike ina maana kuwa mda wake wa kubadilishwa ushafika na mpaka ukapitilizaa sana.Ndg kumbe haya magari ya automatic ni hatari tofauti na tunavyojua.Gari ikakatika Belt(kuna mkanda fulani wa kuzungusha injini) inagoma ku-function chochote kunzia moto,break na usukani. Option mbili zinazobaki ni Hand Break au Parking. Sasa kwa wazoefu hapa mtu afanye nini? Juzi nimepoteza jamaa yangu kwa sababu hii.gari lake lilikatika Belt akiwa anateremka mlima ukawa mwisho wake.
Naomba wajuzi wa automatic watujuze.
NB:Mafundi waliotazama hilo gari wameshauri kuwa siku hizi wamiliki wa magari ya automatic wameanza kufanyia service BELT pekee maana inaonesha ni chanzo cha vifo vingi.
Asante sana mkuu.Kama gari yako ina ABS timing belt ikikata. ABS itajiwasha na gari itapunguza mwendo pole pole mpaka itakapo simama... sababu ABS inahusiana na system nzima ya gari... hata tyre likipasuka kama gari ina abs ni wewe mwenye kujitahid ku control stearing gari itakuja yenyewe mdogo mdogo mpaka isimame
Ndugu acha tu mwenyew nilikua nauchukulia poa poa tu ila hapa ndio nimejua rasmi...Sijawahi jua umuhimu wa ule mkanda ila leo nimejua
Nitakuwa nauchungulia kwa safari ndefu
kwa kawaida ni kila baada ya km ngapi ndio mkanda ubalishwe?Belt hii inaendsha hydraulic pump ambayo inasukuma mafuta kwenye brakes, steering na mifumo mingine ili kumsaidia dereva aweze kutumia steering au brakes bila kutumia nguvu.
Belt ikikatika huwa mafuta oil hayaendi kwa hiyo steering inakuwa ngumu sana na breki pia . Hii ikitoke haraka ondoa mguu kwenye accelerator na kanyaga brake kwa nguvu na pia jaribu kuongoza steering ambayo pia itakuwa ngumu mpaka gari itasimama.
Kitu muhimu badili huu mkanda kwa kama inavyotakiwa kwa Km ulizotembea na tumia mikanda original au aina bora zinazojulikana kwa ubora na pia kila service uangalia mkanda hali yake kama unaonesha dalili ya kuanza kukatika au kuchakaa badili mara moja
Jaribu kupata jibu toka kwnye kitabu cha gari ( manual ) kawaida ni kwenye km 80,000. lakini kuna mikanda sio original na hiyo itakwisha haraka kwa hiyo ni bora kila service una ukaguwa mkanda kwa alama za kukatika au kuchakaa - hapo utakuwa OKkwa kawaida ni kila baada ya km ngapi ndio mkanda ubalishwe?