Gari dar-bukoba choo ndani

Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
Nani apeleke gari lenye choo Bukoba?
Waache kupeleka TANGA au Arusha?
Atakayekua na kazi ya kufundisha abiria jinsi ya ku flush choo Ni Nani kila siku?
 
Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
Ya nini usafiri na basi la gharama kubwa wakati kuna mabasi ya bei chee ambayo mkiwa safarini dereva anasimamisha gari porini abiria mnashuka kwenda kunya porini then safari inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…