Gari dar-bukoba choo ndani

Gari dar-bukoba choo ndani

Hiyo abood bus vip yakuondoka saa kumi inafika saa ngap bukoba
Safari ya Dar Bukoba kwa bus ni takriban masaa 18 hadi 22, inategemea na foleni za pale ubungo hadi kibaha, pia inategemea na ubora wa basi na dereva wake, na mwisho inategemea na kusimama simama hovyo njiani kupakia abiria wasiokuwa kwenye mfumo rasmi.

Hivyo kadiria masaa 18 hadi 22
 
Back
Top Bottom