Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
RE60.jpg

Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.
 
RE60.jpg

Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa n
b03726fbd4f0d548b71aea642a0c2f67.jpg
1ac052d3fcdf35aa599963dba9e6f87f.jpg
a trafiki ukipenya ni kama kawa.
4ce418ce7d6af378a1a236e73841c57d.jpg
 
Iyo ukitembea umbali mrefu bila kusimama engine inaweza ika burst
 
Kwa misele ya mjini safi sana. Lkn kwa misele mirefu halifai
 
RE60.jpg

Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.

mkuu mgt software je lishafika bongo hili? yani nikienda town dukani nalikuta?
 
Back
Top Bottom