Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Milion 6 tu na haina road license kwa kuwa iko chini ya cc 250
Unaposema haina road licence una maana gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milion 6 tu na haina road license kwa kuwa iko chini ya cc 250
Yeah katika review yake wamesema hilo.inatumia rejeta?
Haahaaa mchina ana solutions nyingi utapata portable pupwe lolGari haina pupwe, mvua ikinyesha, ukifunga madirisha yote ni shida humo ndani.
hiyo sio ya kwenda nayo mkoa, kwa mishe za mjini hapa kanafaa sana, mafuta ya fifty yanasongesha
![]()
Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.
mgt softwareMkuu habari haka kagari nakapataje nipo hapa dsm