Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

Hakana vioo lakini hivyo kukiwa na mvuwa ni kujiongeza
 
hiyo sio ya kwenda nayo mkoa, kwa mishe za mjini hapa kanafaa sana, mafuta ya fifty yanasongesha
hii ni mishe za mjini na kupeleka watoto shule, mambo ya kusafiri umbali mrefu chukua basi lenye uwezo wa umbali huo, ila gari hii iringa na tanga inafika kumbuka ni modified ya pikipiki ya miguu mitatu , hata hivyo na engine iko nyuma
 
hii ni mishe za mjini na kupeleka watoto shule, mambo ya kusafiri umbali mrefu chukua basi lenye uwezo wa umbali huo, ila gari hii iringa na tanga inafika kumbuka ni modified ya pikipiki ya miguu mitatu , hata hivyo na engine iko nyuma
Tanga utasafiri week nzima ndio ufike, Iringa ni mwezi mmoja ndio unafika kwa speed yake.hahahah
tatizo sio kufika, ni usalama wako na pia spidi yake ni kama ya mountain bike ikishuka bonde. 70kph ni speed ndogo mno hata pikipiki za kawaida zina mwendo 140kph ambayo ni mara mbili ya hiko kidude.Hiki labda kwa mishen town tu mkuu!
 
Kwa hizo sifa, 6m ni nyingi mno na usishangae kwa jinsi wabongo tulivyo na roho mbaya wauzaji wakiviona vinagombaniwa wanavipandisha bei.
 
at least we umegundua hilo mkuu, hakutakuwa na point ya kununua hii quadricycle kama itauzwa bei sawa na gari samsun
 
top speed ya hzi piki piki mara nyingi kama sio mara zote huwa hawamaanish spid ya mwsho kabisa , mfano boxer bm 150 kiwandan wanasema top speed ni 96 kama sio 100 hivi lakin boxer inaweza fika had 125, pulsar 200ns watengenezaj wanasema top speed ni 130kph lakin ikifanyiwa testing inafika 164kph , bajaj three wheeler yeny cc 200cc, torque 12.26nm speedmeter yake 80kph na ukiivuta vzur inafika sembuse hyo bajaj qute yeny torque 19.6nm ,mnasema ina 70kph ata kama wamesema hvo am sure ina cross 100kph bila tatizo
 
hii ni bajaj ya miguu minne hata sehemu ya kuweka begi hakuna..
 
Hii ni pikipiki iliyowekewa matairi manne...katafaa sana kwa mishe za hapa na pale japo kukosekana kwa ac na joto la mjini bora uendeshe bajaji miguu mitatu kuliko hii miguu minne
 
Back
Top Bottom