Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145

Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.
 
hiyo gar nouma sanaa kama pkpk vile
 
Iyo ukitembea umbali mrefu bila kusimama engine inaweza ika burst
 
Kwa misele ya mjini safi sana. Lkn kwa misele mirefu halifai
 
Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.

mkuu mgt software je lishafika bongo hili? yani nikienda town dukani nalikuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…