ukichoka si unakabeba?,tabu iko wapi?Haha, tatizo balance sasa, na huwezi kwenda nacho sehemu zote.
RE huwa wanatengeneza bajaji, tangu lini wameanza na magari?
Kipoje kipoje, kina mvuto au kinatisha mno yan kidoncho sana?Finally nimekiona hiki kigari mitaa ya science kina carrier juu kina rangi nyekundu
Mi naingia ilala si muda ngoja nikakisake wilayani najua duka lake halitokosekana huko,Nop nilivyokiona kipo poa kisela kikanivutia swala sijajua kinapatikana wapi ili nikakione kwa uzuri,pia sio kiduchu kivileeee