Car4Sale Gari economy Suzuki k linauzwa

Car4Sale Gari economy Suzuki k linauzwa

Mkuu hebu nichekie ktk kadi ya gari hiyo K ina maana gani?
Kei cars.... Jaribu ku google utapata kuelewa.
Kei cars ni jamii ya gari ndogo zinazotengenezwa nchini Japan ikiwa na viwango vya injini, upana wa bodi na urefu wa gari vilivyoainishwa na Serikali ya Japan.. Mf Kei csrs zote zinatakiwa kuwa na engine isiyozidi CC 650. Hii hujumuisha Magari lama Suzuki Kei, Carry, Jimny, Pajero Mini nk.
Miaka ya nyuma serikali ya Japan ilifanya utafiti na kugundua kuwa kulikuwa na Wajapan wengi waliokuwa wanatumia pikipiki ila hawakuwa na uwezo wa kumuliki magari
Kwa hiyo wakaona bora watengeneze magari yenye bei na gharama zingine sawa na piki piki ili Wajapan wengi waachane na boda boda na kutumia magsri ya Kei na kupunguza ajali.. So Kei car ya kwanza ilikuwa na 350cc baadaye zikawa reviewed na kuwa 540cc na sasa ndio hizi za 650cc.
 
sawa mkuu basi nitafutie mteja
 
Mkuu vp na kuhusu upatikanaji wa spea zake kwa hapa nyumbani Tz,
 
suzuki kei ni gari nzuri tu, me nimekuwa nayo kwa mwaka mmoja. nilitoka nayo dar hadi kigoma na haikusumbua. pia gharama zake za uendeshaji hususani mafuta ziko chini sana. kwa safari ya dar to kigoma nilitumia mafuta ya 150,000 tu
 
Back
Top Bottom