Car4Sale Gari economy Suzuki k linauzwa

Car4Sale Gari economy Suzuki k linauzwa

suzuki kei ni gari nzuri tu, me nimekuwa nayo kwa mwaka mmoja. nilitoka nayo dar hadi kigoma na haikusumbua. pia gharama zake za uendeshaji hususani mafuta ziko chini sana. kwa safari ya dar to kigoma nilitumia mafuta ya 150,000 tu
Ofcourse upo sahihii mkuu
 
Unajua sana kufanya biashara mkuu, sauti yako ni nzuri na unavutia. Nimenunua juzi tu hadi natamani ninhelikiwa bado ninunue hii. Hizi gari ndogo hazina shida kabisa kwenye mafuta. Hakika nakutakia mafanikio uuze.
 
Amina mkuu
 
Back
Top Bottom