Gari gani ambayo hata ukipewa bure, utaipokea ili mradi tu?

Gari gani ambayo hata ukipewa bure, utaipokea ili mradi tu?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje.

Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye VX, Noah na vigari flani vipo hasa hasa vipo Njombe wanavifanyia biashara ya tax sijui vinaitwaje. Siwi huru
 
Yani unipe gari nipokee kwamasikitiko hiyo haipo,,, ila kuna vi toyota BB hivo mtihani
 
U
😳😳unataka uhuru kwenye lift!!jombaa a you mad

😄😄

Nitakataa gari la kuchorwa na penseli..lkni hili ambalo ukiliwasha linalia chanyanyanyaaa cha nyanyaaaaa...,,,nalipokea kwa mikono yote
Mmh sawa...
 
Back
Top Bottom