Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier