Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu. Tuache siasa na Mapenzi binafsi, haoa mtoa mada kakutajia magari manne ambayo yapo kwenye class tofauti. Mfano:
1. Crown Athlete
Hii ni sedan, ilitakiwa iweke group moja na wakina BMW 3 au 5 series, Nissan Fuga, Camry, Audi A5/4, etc.
Hii gari ya chini, na inafaa kwa misele ya mjini na highway, sio rafiki kwa mtu mwenye familia kubwa na ambae ana beba Sana mizigo kama chakula cha mifugo, bidhaa za dukani etc. Tuseme hii chuma ya vijana wa mjini, familia ndogo na misele mingi ya mjini na highway.
2. Mitsubishi Outlander
HIi ni SUV kubwa, inafaa kwa matumizi mbalimbali, na inafaa kwa familia ndogo na kubwa.
Wakati haupigii misele town, unaweza kubeba mizigo ya dukani. Kama mtu wa familia, kikosi kizima mnaingia na kusafiri popote.
3. Subaru Impreza 2013
Sijui kwanini hii umeiandika na mwaka wakati nyingine haujaandika. Ila hii itakua ni kwa kijana wa town, familia ndogo pia na barabara ziwe rafiki (kama crown).
4. Toyota Harrier
Hii SUV kubwa, kwahiyo ni nzuri kwa watu wenye familia kubwa na wanaotaka gari multipurpose.
Hitimisho:
Crown apambane na Impreza na kama unataka chuma ya multipurpose basi Harrier apambane na Outlander.