Gari gani bora kuanza kuimiliki kati ya hizi nne?

Gari gani bora kuanza kuimiliki kati ya hizi nne?

Boss hayo machaguo mengi yaani Sedan, SUV na Hatchback vyote unataka.
Sujui kwanini mimi sizipendi hatchback.
Yani hapo kukurahisishia mtazamo wangu uko hivi labda ukichekecha unaweza kuja na wazo zuri

Crown Vs Subaru Impreza
Mitsubish Outlander Vs Harrier
 
Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu.

Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.

1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Chukua Vanguard kaka...utanishukuru baadae
 
Hello Jeff mzm.. karibu nikusaidie mm ni agent natoa magar bandarini 0764423726
Habari ya asubuhi ndugu zangu.

Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.

1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
kaeibu
 
Number 4.

Ova
 
Shukrani maelezo niliyokua nataka ni kama haya sema hujagusia upande durability na spare parts ipi ina changamoto sana na ya kukwepa kwa mtu anayeanza kumiliki ndiga
Karibu , mm ni wakala wa forodha.. 0764423726
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu.

Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.

1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Usijethubutu kuchukua tako la nyani…

Baada y mwezi utaanza kutafuta mteja…

Hapo n subaru na outlander
 
Yote mabomu hayo yaliyokuwa yanangoja kupelekwa scrap Japan.

Nakushauri agiza gari mpya kabisa ya umeme kutoa China, kwa gharama hiyo hiyo ya magari waliyokwisha yajambia wajapani.
Hivi kumbe tunanunua magari yaliyojaa mashuzi ya wajapani

Wabantu tuna laana
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu.

Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.

1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Crown Athlete 🔥🔥🔥
2GR..
 
Tafuta Toyota harrier, watu wengi wamenunua sana na ununue yard, kama waweza agiza toka Japan uta serve pesa kiasi ukifanikiwa usiazimishe gari kwa mtu yeyote, endesha mwenyewe, pata mafunzo veta kama bado, nk magari mengi ya me pata ajari kwa watu kuazimana tu!
 
Back
Top Bottom