🤣🤣🤣🤣 Unaona sasa hadi kwenye magari tako muhimu 🤣🤣🤣🤣Mimi sina gari ila chukua tako la nyani
Yote mabomu hayo yaliyokuwa yanangoja kupelekwa scrap Japan.Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Msambwandwa muhimu ohhh😹😹🤣🤣🤣🤣 Unaona sasa hadi kwenye magari tako muhimu 🤣🤣🤣🤣
Tena iwe hybridChukua Toyota harrier
Mimi sio mjuzi snaa wa magari ila gari inategemea na shughuli yako unayofnyaHabari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Ninazo 2 zimepaki zinapigwa vumbi, nikupe 1???Mimi sina gari ila chukua tako la nyani (harrier)
Boss hayo machaguo mengi yaani Sedan, SUV na Hatchback vyote unataka.Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Ewaaah fanya hivyo tajiri 😹Ninazo 2 zimepaki zinapigwa vumbi, nikupe 1???
Sasa mbona hapa umepiga u-turn kali sana???Ila kusiwe na vigezo na masharti
Hiyo gari corolla inafaa zaidi Kwa MTU asiyejua kuendesha gari kabisaa....hata Mimi nimewaza Sana kama angeanza na corolla ingawa sijajua kama anaweza kuendesha gariTafuta Toyota Corolla, hayo magari yote hayakufai kama ndiyo unaanza game