Yani hapo kukurahisishia mtazamo wangu uko hivi labda ukichekecha unaweza kuja na wazo zuriBoss hayo machaguo mengi yaani Sedan, SUV na Hatchback vyote unataka.
Sujui kwanini mimi sizipendi hatchback.
Chukua Vanguard kaka...utanishukuru baadaeHabari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
kaeibuHabari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Hadhi gani? Tz bhnToyota harrier aka tako la nyani.
Reason.
1.bei kwa yard nzuri haizidi 35m.
2.spare parts
3.ipo juu kwa Road za kwetu.
4.ina hadhi
5.comfortability
Number 4.Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Kwanini namba 4 b…? Namba 3 naipendaaaa.Number 4.
Ova
Ni gari kweli. Ina hadhi pia. 3 ni sawa, ila siyo kuzidi 4.Kwanini namba 4 b…? Namba 3 naipendaaaa.
Karibu , mm ni wakala wa forodha.. 0764423726Shukrani maelezo niliyokua nataka ni kama haya sema hujagusia upande durability na spare parts ipi ina changamoto sana na ya kukwepa kwa mtu anayeanza kumiliki ndiga
Usijethubutu kuchukua tako la nyani…Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish Outlander
3. Subaru Impreza 2013
4. Toyota Harrier
Carina TI my roadTafuta Toyota Corolla, hayo magari yote hayakufai kama ndiyo unaanza game
Hivi kumbe tunanunua magari yaliyojaa mashuzi ya wajapaniYote mabomu hayo yaliyokuwa yanangoja kupelekwa scrap Japan.
Nakushauri agiza gari mpya kabisa ya umeme kutoa China, kwa gharama hiyo hiyo ya magari waliyokwisha yajambia wajapani.
Crown Athlete 🔥🔥🔥Habari ya asubuhi ndugu zangu.