TRACE
Senior Member
- Jul 4, 2008
- 120
- 46
Habari zenu ndugu zangu.Naomba kwa wenye utaalamu na ujuzi wa magari zaidi muweze kunipatia ushauri gari gani itanifaa zaidi.Nahitaji gari ambayo itakuwa imetengenezwa kuanzia mwaka 2015 hadi sasa,yenye kutumia diesel au petrol,yenye CC kuanzia 2000 na kuendelea na iwe juu na siyo sedan ambayo itaniwezesha kutembea kwenye highway siyo chini ya km 8 kwa lita ambayo nitadumu nayo kwa miaka angalau 10,iwe kati ya FOB $20,000-25,000 na kila siku itakuwa inatembea si chini ya km70 kwenda na kurudi kwenye mihangaiko yangu.
Samahani kama wengine watakuwa wamekwazika na bandiko langu hili
Samahani kama wengine watakuwa wamekwazika na bandiko langu hili