Gari gani itanifaa wataalamu ?

Gari gani itanifaa wataalamu ?

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Habari zenu ndugu zangu.Naomba kwa wenye utaalamu na ujuzi wa magari zaidi muweze kunipatia ushauri gari gani itanifaa zaidi.Nahitaji gari ambayo itakuwa imetengenezwa kuanzia mwaka 2015 hadi sasa,yenye kutumia diesel au petrol,yenye CC kuanzia 2000 na kuendelea na iwe juu na siyo sedan ambayo itaniwezesha kutembea kwenye highway siyo chini ya km 8 kwa lita ambayo nitadumu nayo kwa miaka angalau 10,iwe kati ya FOB $20,000-25,000 na kila siku itakuwa inatembea si chini ya km70 kwenda na kurudi kwenye mihangaiko yangu.

Samahani kama wengine watakuwa wamekwazika na bandiko langu hili
 
Chukua Toyota Hilux Double Cabin D4D kuanzia mwaka 2008 hivi mpaka 2012 ni gari nzuri sana hasa upate inayotumia Diesel Cc 2500- 3000 manual transmission. Ni gari ya uhakika sana
 
SA wana Gari nyingi kwa hiyo hela na chenji inabaki tatizo usalama Johannesburg ni mdogo sana,Fortuner 2015, BMW X 3,Subaru wanayo SUV,Mercedes Benz SUV yeyote kuanzia 350 kuendelea,Land Rover Discovery 4 aisee Gari zipo nyingi Jozi na hizo zote chukua za diesel ndani hizo zote ni leather seat utatembea Km unazotaka haitasikia ujinga ujinga wa Gari kugonga iwe bara bara ya vumbi au lami...
 
Chukua fortuner cc 2800 au 3000 diesel, manual utaenjoy sana.
 
SA wana Gari nyingi kwa hiyo hela na chenji inabaki tatizo usalama Johannesburg ni mdogo sana,Fortuner 2015, BMW X 3,Subaru wanayo SUV,Mercedes Benz SUV yeyote kuanzia 350 kuendelea,Land Rover Discovery 4 aisee Gari zipo nyingi Jozi na hizo zote chukua za diesel ndani hizo zote ni leather seat utatembea Km unazotaka haitasikia ujinga ujinga wa Gari kugonga iwe bara bara ya vumbi au lami...
BMW X3 M sport ndio chaguo sahihi Kati ya hayo yote uliyoyataja na inaendana na bei yake hiyo ya USD 25,000. Tatizo lake ni moja tu haitaki rough roads. Yote kwa yote hi ndio Gari pekee niliyotumia na kushuhudia fuel economy ya Hali ya juu. Before niliwahi kutumia premio ya CC 1800 but ilikuwa inanigharimu mafuta kuliko nilyokuwa nikiyatumia kwenye X3 M-Sport hii ni km 12 kwa Lita ukiwa na town trips na km 14 kwa Lita ukiwa highway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu BMW zote za diesel sport ni economy sana kwenye mafuta hata X 5, Ila unaambiwa uchague Disco 4, Benz 350 ML za 2015 unachukua BM? unaacha magari mazuri Fortuner 2015 ndio jamii moja na BM sio hao wanyama juu...
 
SA wana Gari nyingi kwa hiyo hela na chenji inabaki tatizo usalama Johannesburg ni mdogo sana,Fortuner 2015, BMW X 3,Subaru wanayo SUV,Mercedes Benz SUV yeyote kuanzia 350 kuendelea,Land Rover Discovery 4 aisee Gari zipo nyingi Jozi na hizo zote chukua za diesel ndani hizo zote ni leather seat utatembea Km unazotaka haitasikia ujinga ujinga wa Gari kugonga iwe bara bara ya vumbi au lami...
Kaka Isanga family usalama unakuaje apo sasa jozi ukitaka kuja kuchukua dinga
 
Back
Top Bottom