Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

Kwa wazoefu,naweza para gari gani ndogo Kwa 4.5ml inayoweza kutumika huku vijijini? Naombeni ushauri tafadhari.
 
Kwa wazoefu naombeni ushauri gari gani Kwa 4.5ml naweza para Kwa matumizi ya Barbara zetu za kijijini? Naombeni uzoefu tafadhari.
Kabla ya kununua, kuna mafundi gari wa kutosha kweli huko kijijini kwako?
 
Hapo kirikuu inakuhusu.

Ila kwa gari ya bei hiyo jindae kwa pesa za kuwalipa mafundi wa gereji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…