Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

Hapo kirikuu inakuhusu.

Ila kwa gari ya bei hiyo jindae kwa pesa za kuwalipa mafundi wa gereji.

#MaendeleoHayanaChama

Hapo kirikuu inakuhusu.

Ila kwa gari ya bei hiyo jindae kwa pesa za kuwalipa mafundi wa gereji.

#MaendeleoHayanaChama
asijaribu kirikuu sio imara barabara za vijijini,nunua gari kama,mark2 za kizamani,au gx 100,ziko fiti sana...
 
Namfahamu jamaa ana RAV 4 alinunua zamani lakini ni mtunzaji sana wa magari, ukiiona hiyo gari huwezi amini na plate number yake! RAV4 gear yake SHIFT inafaa sana huko vijijini.. 5mill anaweza kukupa.
 
Unapata tena chuma ya maana tu kama carina, Corolla, rav 4 old tena kipisi, escudo na nyingine nyingi weka na gx100 zote.
 
Back
Top Bottom