Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

Naomba kujua ni gari gani naweza pata Kwa 4.5ml inayoweza kutumika Barbara za vijijini? Naombeni ushauri Kwa wazoefu tafadhali.

Jaribu Mitsubishi zile SUV za zaman 4D56, gari nzuri sana, na consumption nzuri.

Tafuta haya iliyopark nzuri ya kurekebisha maana watu wengi wa zaman walizitunza.

Ukiiota ukajipanga kuirekebisha taratibu utakuwa na gari nzuri sana. Ila pia ujasema matumizi yako ni yapi, kilimo? Kubeba vitu? Kutembelea?
 
hio gari sidhani kama itafika huko mkoani.labda kama unaenda mkoa wapwani au moron lakini mikoa mingine gari itakuchemshia njiani au itazingua chochote kile.
 
Unaelimu kuhusu magari au unaongea tu kwa kufuata mkumbo.?

Me nimeuza hiyo gari na imefika Arusha from Dsm bila shida yoyote.
 
Jaribu Mitsubishi zile SUV za zaman 4D56, gari nzuri sana, na consumption nzuri.

Tafuta haya iliyopark nzuri ya kurekebisha maana watu wengi wa zaman walizitunza.

Ukiiota ukajipanga kuirekebisha taratibu utakuwa na gari nzuri sana. Ila pia ujasema matumizi yako ni yapi, kilimo? Kubeba vitu? Kutembelea?
Ketembelea almost 2km kwenda kazini na kanisani,mara moja moja sana kwa mwaka kwenda home about 233km.
 
Naomba kujua ni gari gani naweza pata Kwa 4.5ml inayoweza kutumika Barbara za vijijini? Naombeni ushauri Kwa wazoefu tafadhali.
Hiyo pesa nunua SUNLG 125 mbili.
Moja ya kwako ya kutembelea nyingine ya biashara.

Baada ya mwaka 1 unaziuza zote unaongezea pesa unanunua gari nzuri.

Kupanga ni kuchagua
 
Tafuta surf diesel. Upate bodi uje uweke injini baadae
 
Ila jihadhari na utapeli, Usiende kucheki gari na CASH wala ukiwa peke yako nenda na mafundi pro max
Screenshot_20221231-124141.jpg
 
Back
Top Bottom