Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Zina ugonjwa sugu wa gearbox kwenye rivasikanunue VITZ OLD MODEL HUTOJUTIA
Sawa mkuuNitumie PC zaidi 0754661393
Yani hii imetulia kabisaNjoo na 3.5M fixed, nikupe hii...Corolla 111View attachment 2244519View attachment 2244524
Gari ipo vizuri sana hamna chakurekebisha kuanzia engine, gearbox mpaka body
MZEE VITZ OLD MODEL?Zina ugonjwa sugu wa gearbox kwenye rivasi
Brevis ziko nyingi tu unapataNaomba kujua ni gari gani naweza para Kwa 4.5ml inayoweza kutumika Barbara za vijijini? Naombeni ushauri Kwa wazoefu tafadhari.
Hapo kirikuu inakuhusu.
Ila kwa gari ya bei hiyo jindae kwa pesa za kuwalipa mafundi wa gereji.
#MaendeleoHayanaChama
asijaribu kirikuu sio imara barabara za vijijini,nunua gari kama,mark2 za kizamani,au gx 100,ziko fiti sana...Hapo kirikuu inakuhusu.
Ila kwa gari ya bei hiyo jindae kwa pesa za kuwalipa mafundi wa gereji.
#MaendeleoHayanaChama
Daihatsu terios cc 1300Naomba kujua ni gari gani naweza para Kwa 4.5ml inayoweza kutumika Barbara za vijijini? Naombeni ushauri Kwa wazoefu tafadhari.
jini mnywa mafutaBrevis ziko nyingi tu unapata