Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

Nathan James

Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
59
Reaction score
28
Nimeona Magari yafuatayo.
NISSAN FUGA
TOYOTA CROWN
MARK X

Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti tofauti.

Msingi zaidi kwangu ni;
1. Performance---Speed.
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfort ability
 
Ngoja wenye uzoefu waje na mimi niweze kujifunza hapa..,
 
Nimeona Magari yafuatayo.
NISSAN FUGA
TOYOTA CROWN
MARK X

Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti tofauti.

Msingi zaidi kwangu ni;
1. Performance---Speed.
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfort ability
Wewe macho unayo na mafundi wapo, unachagua gari unayotaka wewe.
 
Chukua kati ya mark x au crown, utumiaji wa mafuta na speed ni almost similar, Nissan fuga sina uzoefu nayo sana ila nadhani spear ni shida
 
Mark x na crown.. Tofauti ni body na accesories chache.. Engine ni zile zile 4gr na 2gr... Mfumo wa chini ni ule ule.... Labda gearbox kidogo ndo zinatofauti.... Nissan fuga ni superior kwa crown na mark x interms of stability, speed, power etc... Upande wa mafuta hakuna yenye afadhali hapo... Usitegemee kuna gari hapo inatumia zaid ya km. 7 kwenye foleni za dar... Isipokua ukiwa highway consumption ni ndogo sana ingawa zina engine kuanzia cc 2500 zote....

Kama unataka gari ya starehe kuliko zote katika hizo chukua Fuga... Ila c crown mark x wala fuga utapata ahueni ya spea wala mafuta....
 
Back
Top Bottom