Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

Katika vigezo vyako umesahau safety, ukiongezea hiyo chukua Crown.
 
Mark x na crown.. Tofauti ni body na accesories chache.. Engine ni zile zile 4gr na 2gr... Mfumo wa chini ni ule ule.... Labda gearbox kidogo ndo zinatofauti.... Nissan fuga ni superior kwa crown na mark x interms of stability, speed, power etc... Upande wa mafuta hakuna yenye afadhali hapo... Usitegemee kuna gari hapo inatumia zaid ya km. 7 kwenye foleni za dar... Isipokua ukiwa highway consumption ni ndogo sana ingawa zina engine kuanzia cc 2500 zote....

Kama unataka gari ya starehe kuliko zote katika hizo chukua Fuga... Ila c crown mark x wala fuga utapata ahueni ya spea wala mafuta....
VERY Detailed. Nashukuru sana. Nashukuru sana
 
Nunua Amarok VW hutakaa ujute ktika misha yako.
 
Nimeona Magari yafuatayo.
NISSAN FUGA
TOYOTA CROWN
MARK X

Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti tofauti.

Msingi zaidi kwangu ni;
1. Performance---Speed.
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfort ability
Uchochezi huo mkuu,,, TRA wako njiani wanakuja kukagua mapato
 
Mark X na Crown zina engine moja lakini Crown Athlete inaikimbiza Mark X, ila Fuga ndo mambo yote aisee
 
Fuga mashine hapo. Ila spear zake ujipange hamna mpinzani
 
Back
Top Bottom