Nathan James
Member
- Apr 12, 2017
- 59
- 28
TAYARI Mkuu.Usha jenga!? Au mnatujazia foleni na loan zenu!?
FUSO noma Mkuununua fuso
asanteCrown
ASANTE SANA.kama unapenda mbio chukua nissan fuga, hii mashine ni hatari
NashukuruNissan Fuga ukizingatia durability,perfomance na comfort.Spare zitakutoa kamasi ila ndo zile ukifunga umefunga
Nakusoma NAkusomaNissan Fuga is end of the railwayyy...
Wewe macho unayo na mafundi wapo, unachagua gari unayotaka wewe.Nimeona Magari yafuatayo.
NISSAN FUGA
TOYOTA CROWN
MARK X
Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti tofauti.
Msingi zaidi kwangu ni;
1. Performance---Speed.
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfort ability
nashukuru.Wewe macho unayo na mafundi wapo, unachagua gari unayotaka wewe.