Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

Katika vigezo vyako umesahau safety, ukiongezea hiyo chukua Crown.
 
VERY Detailed. Nashukuru sana. Nashukuru sana
 
Nunua Amarok VW hutakaa ujute ktika misha yako.
 
Uchochezi huo mkuu,,, TRA wako njiani wanakuja kukagua mapato
 
Mark X na Crown zina engine moja lakini Crown Athlete inaikimbiza Mark X, ila Fuga ndo mambo yote aisee
 
Fuga mashine hapo. Ila spear zake ujipange hamna mpinzani
 
Ushauri wangu nunua zote tatu ili ujionee ubora na udhaifu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…