Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

You do not care about safety, braking na handling?

Mnapoangalia 0-100kmph time mkumbuke na 100-0kmph time. Do not drive faster than you can stop.
Hapo sasa itabidi aende Germany anyakue C 200 au C 180 compressor cc 1790 , achana kabisa na Mercedes Benz....tuendelee kupambana mjerumani kwenye gari habari nyingine....
 
Hapo sasa itabidi aende Germany anyakue C 200 au C 180 compressor cc 1790 , achana kabisa na Mercedes Benz....tuendelee kupambana mjerumani kwenye gari habari nyingine....
Hii compressor cc 1790 mkuu... ni moto hataree
 
HUWEZI PATA GARI KWA KUUNGA MISINGI YAKO YOTE na kupata kimoja. Ni sawa na ktaka kupata demu menye sifa zote utakazo, hiyo haipo mkuu
Must drop one and forgone the rest

NISSAN FUGA Kwa speed, durability na pia comfortability ni funga kazi huwezi linganisha na zingine hapo

TOYOTA CROWN na MARK X zinafanana kwa economy, na speed,

MARK X kwa comfortability yupo vizuri zaidi
 
Kwa hiyo Nissan fuga ni best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…