Gari gani nzuri ya kupigia harakati ngumu kati ya hizi?

Gari gani nzuri ya kupigia harakati ngumu kati ya hizi?

Waungwana naomba kuwasilisha hoja ni gari gani ni imara zaidi kwenye rough roads nataka kupigia kazi na kupenya maeneo sumbufu

Vanguard
Kluger
Harrier
X-trail
Gari nzuri ni Landcruiser hardtop. LX
land-cruiser-vdml-si3-058-10.jpg
 
Wese siyo sana pamoja na kuwa na cc kibao, nazipenda sana hizi dude, kwangu ni new fashion kila nizionapo mpaka sasa naitumia moja kila msimu ni kiangazi kwangu huku mbeya nikiwa na hii dude
Nissan Safari/patrol TD42 ni kisanga asee! Natafuta moja kama hilo kwa ajili ya kazi na adventure. Pori kwa pori
 
Nenda huko Kasulu - Kigoma, mwezi wa 5 na 7 shirika is kuhudumia wakimbizi (unhcr) watafanya mnada wa hizi gari zao za zamani.

Wee jipange tu vizuri coz bei za gari sio mbaya sana (it range btn 30M - 75M).
20220408_142555.jpg
 
Back
Top Bottom