Gari gani nzuri ya kupigia harakati ngumu kati ya hizi?

Gari gani nzuri ya kupigia harakati ngumu kati ya hizi?

Nenda huko Kasulu - Kigoma, mwezi wa 5 na 7 shirika is kuhudumia wakimbizi (unhcr) watafanya mnada wa hizi gari zao za zamani.

Wee jipange tu vizuri coz bei za gari sio mbaya sana (it range btn 30M - 75M).
View attachment 2201898
Hizi Gari si hua zinakua tax exempted?Bei hapo itakua Kodi ya kukulipia hio gari Ni inclusive au exclusive?
 
Kwa hizo pekee ulizotaja kluger ndo baba yao kweny roughroad hata mvua inyeshe chuma inatembea na pori, chonde chonde usijaribu harrier utajuta, na hizo xtrail ndo Vimeo kabisa hata za mjini ziko juu ya mawe
 
Hujielewi
 
Back
Top Bottom