Mkuu samahani,nimejaribu kuingia Befoward na kufanya bargaining,wasiwasi wangu gani itakuja nzima,mwenye experience please
Mkuu naomba unieleweshe tofauti iliyopo kati ya Ti Na Si kwenye Carina.
Gari nyingine nzuri ni corrola NZE 121 ni nzuri Na fuel consumption.. iko chini sana.
.ni gari nzuri na imara, ti hailimafuta sana kama si but ti haifunguki kivile kama si,hasa katika safari zetu mbali ....
kumbe ilibidi ataje yeye pekeyakeMbona Passo hujaitaja,tena hiyo ina nafasi ndani kuliko hata hiyo IST ukitupia wese la 20,000/= unasahau !!!
Nimenunua huko, gari zao zinauzwa kama zilivyo. Hakuna chochote wanachobadili. Angalia picha za gari vizuri ndiyo uamue.
Kama una familia ya kiarabu mkuu nunua voxy inabeba wote mpaka dada yao
Mkuu tafuta gari moja inaitwa Toyota Probox ni family car na ina nafasi kubwa,fuel consumption utachekelea,nilikua na safari ya mtwara tena ya haraka kupitia dar nilijaza ful tank lita 50 njombe nilitembea nayo hadi nangurukuru lindi tena full Ac na mwendo wa speed 160/150 per hour,ipo imara sanaa na spare zake ina share na stalet na spacio,hiyo niliazima nilipotoka safari nilipitiliza kuagiza ya kwangumandolini trust me mkuu
Mkuu tafuta gari moja inaitwa Toyota Probox ni family car na ina nafasi kubwa,fuel consumption utachekelea,nilikua na safari ya mtwara tena ya haraka kupitia dar nilijaza ful tank lita 50 njombe nilitembea nayo hadi nangurukuru lindi tena full Ac na mwendo wa speed 160/150 per hour,ipo imara sanaa na spare zake ina share na stalet na spacio,hiyo niliazima nilipotoka safari nilipitiliza kuagiza ya kwangu
Family car gari kama Noah na toyota wish. Tangu lini gari,kama carina ikawa family car???

Nunua voxy mkuu, ongeza 5m upate kitu saafi cc1990, nzuri mnoooo mie nimeuza tu January baada ya kutohitaji after one year of use
Family car gari kama Noah na toyota wish. Tangu lini gari,kama carina ikawa family car???
Wakuu wajuzi wa JF,
Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.
Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.
Nina bajeti ya Shs.8,000,000!
Asanteni wadau
Nunua Toyota Passo
150/160 barabara za huko Bongo kweli? Mmmmh haya bana
Wakuu wajuzi wa JF,
Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.
Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.
Nina bajeti ya Shs.8,000,000!
Asanteni wadau
mbona huo ni mwendo wa kawaida kaka. Mimi nikitoka mwanza kwenda arusha average speed ni 140 na mda mwingine 150. Inategemea unapangaje gia na uimara wa gari yako. Na hapo natumia mafuta lita 60 full ac. Na hiyo ni rav4 mannual