Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Mkuu samahani,nimejaribu kuingia Befoward na kufanya bargaining,wasiwasi wangu gani itakuja nzima,mwenye experience please

Nimenunua huko, gari zao zinauzwa kama zilivyo. Hakuna chochote wanachobadili. Angalia picha za gari vizuri ndiyo uamue.
 
Mkuu naomba unieleweshe tofauti iliyopo kati ya Ti Na Si kwenye Carina.
Gari nyingine nzuri ni corrola NZE 121 ni nzuri Na fuel consumption.. iko chini sana.

carina ti ni cc 1500, wakati si ni cc 1800. ndio utofauti mkuu
 
Nimenunua huko, gari zao zinauzwa kama zilivyo. Hakuna chochote wanachobadili. Angalia picha za gari vizuri ndiyo uamue.

umesomeka mkuu?how long it wil take from Japan to our port
 
mandolini trust me mkuu
Mkuu tafuta gari moja inaitwa Toyota Probox ni family car na ina nafasi kubwa,fuel consumption utachekelea,nilikua na safari ya mtwara tena ya haraka kupitia dar nilijaza ful tank lita 50 njombe nilitembea nayo hadi nangurukuru lindi tena full Ac na mwendo wa speed 160/150 per hour,ipo imara sanaa na spare zake ina share na stalet na spacio,hiyo niliazima nilipotoka safari nilipitiliza kuagiza ya kwangu
 
Nunua voxy mkuu, ongeza 5m upate kitu saafi cc1990, nzuri mnoooo mie nimeuza tu January baada ya kutohitaji after one year of use
 
150/160 barabara za huko Bongo kweli? Mmmmh haya bana
 
wakuu michango yenu inanipa mwelekeo sahihi
 
Family car + Utumiaji mafuta vizuri + upatikanaji wa spea = Toyota Ipsum
tena ungepata ya 2003 hapo ungetulia kabisaa..
sema usikurupuke kuingia yadi kichwa kichwa ....unaweza ukapigwa hata 15mil...wakati zipo za chini ya 10 milns..
 
Family car gari kama Noah na toyota wish. Tangu lini gari,kama carina ikawa family car???

acha kukariri. hata carina ni family car....hio noah ni mpv,wish estate car....soma dfn ya wikipedia below

A family car is a car classification used in Europe to describe normally-sized cars. The name comes from the suitability of these cars to carry a whole family locally or on vacations. Most family cars are hatchbacks or sedans, although there are MPVs, estates and cabriolets with the same structure as with the other body style. The term covers two types of family cars.
 
Wakuu wajuzi wa JF,

Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.

Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.

Nina bajeti ya Shs.8,000,000!

Asanteni wadau

Nunua Toyota Passo
 
kuna vigari vingi sana vimeingia ila sasa spea ni shida kama ukienda mikowa mingine . mfano mzuri TOYOTA DUET ni gari nzuri sana kwenye mafuta shida upatikanajo wa spea. mbaka tuafize dar
 
150/160 barabara za huko Bongo kweli? Mmmmh haya bana

mbona huo ni mwendo wa kawaida kaka. Mimi nikitoka mwanza kwenda arusha average speed ni 140 na mda mwingine 150. Inategemea unapangaje gia na uimara wa gari yako. Na hapo natumia mafuta lita 60 full ac. Na hiyo ni rav4 mannual
 
Wakuu wajuzi wa JF,

Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.

Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.

Nina bajeti ya Shs.8,000,000!

Asanteni wadau

Chukua basi la abiria 65 mkuu,familia itafurahi.kanunue kwa Ngorika moja.
 
mbona huo ni mwendo wa kawaida kaka. Mimi nikitoka mwanza kwenda arusha average speed ni 140 na mda mwingine 150. Inategemea unapangaje gia na uimara wa gari yako. Na hapo natumia mafuta lita 60 full ac. Na hiyo ni rav4 mannual

Haya sawa
 
Back
Top Bottom