Gari gani poa ya ''kifamilia?''

chukua toyota WISH cc 1800 7 seat kama noah, iko poa saana, na show yake inamauzo.
 

Tafuta Mikokoteni Mkuu Itakufaa................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
naombeni msada jamani. tumiagiza TOYOTA NOAH toka japani. sasa hii ni mara kwanza kuagiza. naombeni msada anae jua jinsi ya kutowa bandarini na maswala ya TRA. gari ni ya mwaka 2005 ina cc 2000.
 
.ni gari nzuri na imara, ti hailimafuta sana kama si but ti haifunguki kivile kama si,hasa katika safari zetu mbali ....
Tofauti ni Engine capacity. Ti engine yake ni ndogo CC 1490 na SI Engine yake ni kubwa nadhani ni CC 2000
 
Chukua raumu n gari nzuri sana kwa familia na matumizi ya mafuta n chini cc 1490 muonekano n mzuri spear kila kona hupati shida
 
Chukua raumu n gari nzuri sana kwa familia na matumizi ya mafuta n chini cc 1490 muonekano n mzuri spear kila kona hupati shida

au achukue toyota sienta 7seat na ni cc 1290
 
tafuta trekta, ni poa sana maana hata safar za shamban utaenda nalo bila kujali mvua, matope na jua.
 
Mkuu tafuta Carina Ti. Huwezi kuamini niliweka full tank lita 50 kutoka moshi nimefika dar bado mafuta yapo juu ya robo tank. Ti ni cc 1490
Usije kununua carina Si

kwakweli kwa mtu anaetak agari safi,standard na ina hadhi na carina Ti...ina consumption ndogo kuliko hata iyo 1490 wanayoitaja....
 
Wakuu vits new model ni moja kati ya magari ya toyota yenye technical faults, so yanarudishwa kiwandani
 
The Toyota Sienta is a
small five-door minivan
with sliding doors sold
only in Japan. Introduced
in September 2003,
 
Ni kweli mkuu,pamoja na majina yote wanayoiita,NOAH nigari comfortable sana,pia ni imara kuliko maelezo,mimi ninayo kwa familia now it is 6 years,sijawahi kubadili spare yoyote zaidi ya service ya oil na kubadili tyre,imeisha piga masafa marefu mara kadhaa,pia inabeba mzigo mzito utadhani pick up.Honestly kama sio ufahari wa kujionyesha NOAH nigari bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…