Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Jamani Vipi Kuhusu Hizi Aina Za Gari Hapa ..

Honda FIT
Mazda Verrisa

Spare Zake na Hapa Bongo Zipoje Maana Naona Watu wengi Ni Toyota Tu
 
Mkuu, kama kilio chako ni mafuta tafuta Kei cars. Zina cc 660 tu. Mfano Suzuki Jimny, Suzuki Kei and the likes...
 
Inabidi ushitakiwe kwa kutaka kujiua, speed ya 160km/hr kwa barabara za tz????
 
Mkuu Pokea huu ushauri kama bado hujanyaka ndinga
 
Hili la kuzingatia sema lile gari ipo kama jeneza[emoji23][emoji23]
 
Kama familia kubwa nunua toyota wish cc 1800 vvti engine. Mm kwa sasa nimeagiza corolla axio 1500cc CVT engine hizo za 4AT nimezipa kisogo kwanza. Tatizo wabongo na cc hatutak kujaribu mambo mapya kila cku kuigana tu
Umeamua Kuonyesha ubabe kwa CVT ila sidhani kama Mafundi wetu wabongo aina hizi za engine wana ujanja nazo saaana
 
Jamani Vipi Kuhusu Hizi Aina Za Gari Hapa ..

Honda FIT
Mazda Verrisa

Spare Zake na Hapa Bongo Zipoje Maana Naona Watu wengi Ni Toyota Tu
Ukiona hazina ushabiki ujue vifaa vyake changamoto na hizi FIT hazina balance ya kutosha na Miguu handle zake bomu
 
Umeamua Kuonyesha ubabe kwa CVT ila sidhani kama Mafundi wetu wabongo aina hizi za engine wana ujanja nazo saaana

Hayo mambo ya mafundi wetu yalishapitwa na wakati. Yaani tusitumie vitu vizur kisa mafundi wetu vi.la.za. Hapana mm nimeamua na nadhan mambo yataenda poa
 
Hayo mambo ya mafundi wetu yalishapitwa na wakati. Yaani tusitumie vitu vizur kisa mafundi wetu vi.la.za. Hapana mm nimeamua na nadhan mambo yataenda poa
Kweeeeeeli[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu Extrovert hiyo gari ulaji wake wa mafuta upoje? Pia bei kwa showroom ni shs ngapi na kwa kumvua mtu yaweza kuwa shs ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…