Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Nilishalitolea Ufafanuzi, Nikamwambia Akiona SR50 Aliogope Maana Ni 4wd, Pia Nilimwambia Zinakula Mafuta Zaidi Na Diff Zake Zinasumbua Na Mafundi Wetu Bado Wanapatashida Kuzikarabati
Nimetumia Gati Zote Za 4 Na 2wd Ulaji Mafuta Una Tofauti Ya Kutosha Sio Kama Unaotaka Kutuaminisha Hapa, Hilo La Hilo la Diff Kusumbua Ni Kweli Inawezekana Ukawa Uko Right Lakini Bado Naona Wengi Wanalalamika Tatizo HiloHakuna kitu kama hicho, hizo ni taboos tu...tofauti ya 2wd na 4wd ni ndogo sana kwenye mafuta almost ni 0.5km. mfano gari ya 2wd kama inaweza kwenda km9 kwa lita yenyewe itaenda 8.5km kwa lita, kuhusu kusumbua diff ni kutojali gari na kuifanyia service kwa wakati sio kwa sababu eti ni 4wd...Kama fundi hajui kutengeneza gari usiitoe kasoro gari
Kwa gari nzuri na imara za kifamilia, chukua hii ... Liteace noah inauzwaWakuu wajuzi wa JF,
Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.
Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.
Nina bajeti ya Shs.8,000,000!
Asanteni wadau
Toyota camiSasa wakuu ni gari gani ndogo yakijanja ambayo iko juu na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida sanaa?
Haha BMW X6 5litre kwa 1Km mweeh unamiliki Puma au EngenWe jamaa unamasihara ya ngumi, kwa milion nane mkuu[emoji38] [emoji38]
Waende Garage za uhakika sio zile za magumashiHakuna kitu kama hicho, hizo ni taboos tu...tofauti ya 2wd na 4wd ni ndogo sana kwenye mafuta almost ni 0.5km. mfano gari ya 2wd kama inaweza kwenda km9 kwa lita yenyewe itaenda 8.5km kwa lita, kuhusu kusumbua diff ni kutojali gari na kuifanyia service kwa wakati sio kwa sababu eti ni 4wd...Kama fundi hajui kutengeneza gari usiitoe kasoro gari
Huu mzigo naumaindi sana yaani...bonge la gari ...sema bei yake sasa ndo kisuChukua Toyota Alphard
Kabisa. Chombo kimekaa vizuri sana sema kwa.milioni nane zake asingeweza.Toyota Alphard
Aagiza mwenyewe Japan anapata bei mzuri tu ila yard za bongo wanahasira...na madalali wengi sana kwenye Yard zetuKabisa. Chombo kimekaa vizuri sana sema kwa.milioni nane zake asingeweza.
sana mkuu...wanapiga kuanzia 20 huko na kuendelea. ila hawa TRA sijui vipi maana nilicheki kodi yake tu 11milioniAagiza mwenyewe Japan anapata bei mzuri tu ila yard za bongo wanahasira...na madalali wengi sana kwenye Yard zetu