Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Nilishalitolea Ufafanuzi, Nikamwambia Akiona SR50 Aliogope Maana Ni 4wd, Pia Nilimwambia Zinakula Mafuta Zaidi Na Diff Zake Zinasumbua Na Mafundi Wetu Bado Wanapatashida Kuzikarabati
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni taboos tu...tofauti ya 2wd na 4wd ni ndogo sana kwenye mafuta almost ni 0.5km. mfano gari ya 2wd kama inaweza kwenda km9 kwa lita yenyewe itaenda 8.5km kwa lita, kuhusu kusumbua diff ni kutojali gari na kuifanyia service kwa wakati sio kwa sababu eti ni 4wd...Kama fundi hajui kutengeneza gari usiitoe kasoro gari