devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Mpe na beiPasso RacyView attachment 1844109
Umesikia dogo.Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont adise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Wabongo kwa kujifanya mnajua kushauri watu.Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont adise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia
Sawa mjukuu wangu, ila ametaja kipato chake mimi nimekula chumvi nyingi hivyo nimeshauri kikubwa.Umesikia dogo...
Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake..
Kwani yeye aliyeshauriwa anasemaje?Wabongo kwa kujifanya mnajua kushauri watu.
Amekuona JUHA ndio maana amekupotezea.Kwani yeye aliyeshauriwa anasemaje?
toyota Alex, tunavutaga mbele hutu tuvitu, pIA NI LOW fuel consumption.
Mwamba gari lolote linafaa kuanzia maishaWakuu habari ...naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo .ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati....je ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4...
Mkuu umeshavuta ile Subaru Forester?Umesikia dogo...
Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.
Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?
Nilipiga chini. Route zangu za hapa mjini nimeamua kubaki na Passo yangu nyeusi vioo tinted.Mkuu umeshavuta ile Subaru Forester?