Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Wakuu habari,

Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
IMG_20230625_215910.jpg
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako.
Ila watanzania bhn….
Ss ndo nini hiki? We Mshauli aina y gari y kununua, hizo investment fanya ww, cz I believe gari haimzuii kufanya hizo investment..

Gari n hitaji la Muhimu sn kwa maisha y ss
 
Nilitaka kusema hivyo pia; kasema kipato chake ni Tsh 400k kwa mwezi; ukweli sioni kama ni deal kwake kua na gari, afanye mambo mengine
Acheni ushamba wetu, watu hatuna mapato yoyote y mwezi na tunapush mapira y hatari..

Hizi akili za kimasikini ni zakukemewa vikali kwa maslai mapana y taifa
 
Nani alikwambia hana nyumba?
Bei ya nyumba na gari n sawa…

Hii nchi inalaana sio bure, yani nianze ujenzi ndo ninunue gari? 🤣🤣🤣

Gari 10 million napata, nyumba je, hiyo ten million si kiwanja tuu tena vingunguti Kyembe mbuzi huko…
 
Mwamba gari lolote linafaa kuanzia maisha
Ila kama kipato ni laki 4 ningekushauri suala la gari achana nalo kwa sasa
Ukute mtu alishamalizua kujenga,ana vibiashara vidogovidogo na hiyo TSH 600000/= ni Kwa ajiri tu ya kutumia Haina KAZI nyingine hawezi miliki gani mwamba!???
 
Ukute mtu alishamalizua kujenga,ana vibiashara vidogovidogo na hiyo TSH 600000/= ni Kwa ajiri tu ya kutumia Haina KAZI nyingine hawezi miliki gani mwamba!???
Yeye kasema kipato chake kwa mwezi ni laki 4
 
Back
Top Bottom