Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Apo cha msingi ndug yangu fanya juu chini uwe na 1M ambay ni reserve ya gari mbali na mshahara ikitokea ata tair imepasuka bahat mbaya una uwezo wa kubadili Sababu una akiba ya 1M apo mbn watakuw wanasema ataliuza ty ilo gari alafu we unapeta tuuu
 
Nunua lolote tu,likiharibika huna hela liegeshe hadi uzipate,ukikosa za mafuta pia liegeshe.

Nina mstaafu jirani hapa gari limeisha betri tu kachoka "kubusti" kaamua kuegesha kisa hana 120K tu
 
Wakuu habari,

Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?

Usipepese macho anza na IST

utasemwa lkn utapata experience nzuri kuhusu magari

Fuel efficiency,low maintenance cost,good resale value
 
Usipepese macho anza na IST

utasemwa lkn utapata experience nzuri kuhusu magari

Fuel efficiency,low maintenance cost,good resale value

Uzuri wa haka kagari siku ukitaka kukauza hutapata shida kabisaaaa
 
Mwamba gari lolote linafaa kuanzia maisha
Ila kama kipato ni laki 4 ningekushauri suala la gari achana nalo kwa sasa
Ushauri Bora kabisa kwenye huu Uzi, siyo anakimbilia kununua gari badae anakuja kulalamikia ugumu wa maisha, gari lazima uwe na budget ya 10k plus kwa siku kwa ajili ya wese tu, hiyo ni minimum ya 300k kwa mwezi, hujala, Kodi, umeme na maji. Kama anaweza anunue pkpk au bajaji
 
Ushauri Bora kabisa kwenye huu Uzi, siyo anakimbilia kununua gari badae anakuja kulalamikia ugumu wa maisha, gari lazima uwe na budget ya 10k plus kwa siku kwa ajili ya wese tu, hiyo ni minimum ya 300k kwa mwezi, hujala, Kodi, umeme na maji. Kama anaweza anunue pkpk au bajaji

Nakumbuka wakati naanza maisha nilipata sana ushauri kama huu nikaupuuzia

Kwanza nilianzisha ujenzi kwa ramani kubwa na nzuri kweli
Nikaambiwa kwa mshahara gani ulionao hadi uje kumaliza hiyo nyumba, itakutesa maisha yako, sikukata tamaa nikaingia na munkari wa kuwa prove wrong na ndani ya miaka 3 nikahamia kwangu japo nili ezeka bati upande mmoja
Wakati huo najenga nikataka kununua gari bado nikapata ushauri kama huu wako, sikujali nikanunua gari na kadiri nilivyo pata changamoto ndivyo akili ilivyo zidi kutanuka kuongeza kipato
Haikuwq rahisi lakini sio kama najisifia sipo sawa kabisa na walio nitisha ambao tulikua tunakesha baa na kunywa sana na anasa kibao ambazo bado haziku hakisi kipato chetu
Ndio hapo nilipo jiuliza mbona hela ya bia na mademu ipo? Hizo si tofali na petrolo?

Wakati mwingine ku face new experience na changamoto zake kunakukuza kiakili kuboresha kipato kuendana na mahitaji ya dunia hii
 
Gari kwa sasa ni moja ya mahitaji muhimu kwa familia hasa umuhimu wake unakuja pale unapopata shida ya ghafla ama muhimu ambayo itahitaji kutoka sehemu moja kwenda nyingine, kikubwa ukiwa na gari na kipato kikawa kidogo jitahidi sana kuepuka matumizi yasiyokua ya lazima kutumia gari binafsi, gari iwe stand by kwa ajili ya safari za muhimu na zile shida z ghafla hasa kwa bei ya buku ya mafuta kwa sasa, ila kama uchumi uko vizuri popote tembea nayo.
Una akili sana, mimi huwa natembelea gari safari muhimu na za uhakika wa Pesa... za kubahatisha napanda daladala gari inapak mwaka wa 3 huu
 
Nunua Carina T. I hutojuta mkuu.Wapo wataoponda kwamba ni kizamani kazini mninga haswa Kama wewe ni mgeni kwenye ulimwengu huu wa magari itakufaa sana. Hizo gari dedicate zinatesa sana mambo yake ni mengi kama demu ni slay queen
 
Nunua Carina T. I hutojuta mkuu.Wapo wataoponda kwamba ni kizamani kazini mninga haswa Kama wewe ni mgeni kwenye ulimwengu huu wa magari itakufaa sana. Hizo gari dedicate zinatesa sana mambo yake ni mengi kama demu ni slay queen
Enyi watu wa JF mfike mahali muache kilamtu kumshauri anunue Carina
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako.
Asee katika ushauri huu ni bonge la ushauri ila mtaka gari now anaweza ona ww ni kikwazo kwenye lengo lake.

Mimi kuna jamaa alinishauri sana achana na magari kilichonilazimu kununua ilikua wife anapata tabu ya usafiri nikajiingiza kichwa kichwa nikakamata majesta.
Halooo baada ya miezi kama mitatu nikapata dili la vifaa sehemu alafu hela nilionunulia ndinga ingeweza nunua mzigo na faida ilikua ni 4× ikabidi nichukue mali kauli na kariba kidogo nilijilaumu sana now nikiona mtu anakimbilia gari najikumbuka mimi kabisa. Si haba ilisaidia na inamsaidia wife mpka leo ila najisemeaga ile hela ningeongeza nyingine baada ya mwaka si ningekua na ndinga kali zaidi ya hii tulio nayo now au ningegawa kiasi nikamatie bike kubwa niachane na hivi vi tvs kila kona unaonekana boda
 
Back
Top Bottom