Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Anunue ist , PASSO au VITZ hizi sio gari ni vyombo vya usafiri na pia huna tofauti na pikpiki gari ni sehemu ya maisha na maisha ni usafiri
 
umasikini kwa sehemu kubwa unachangiwa na mtazamo hasi kuhusu matumizi sahihi ya resources. Warren Buffett aliwahi kusema hivi: Ukinunua vitu usivyohitaji sasa, utakuja kuuza vitu unavyohitaji baadae

MIMI NAONA WEWE NDIYO LIMBUKENI UNAFIKIRI GARI NI KITU CHA MAANA SANA
Mkuu uko sahihi 100%, ila nasikitika ni wachache sana wanaokuelewa.
 
umasikini kwa sehemu kubwa unachangiwa na mtazamo hasi kuhusu matumizi sahihi ya resources. Warren Buffett aliwahi kusema hivi: Ukinunua vitu usivyohitaji sasa, utakuja kuuza vitu unavyohitaji baadae

MIMI NAONA WEWE NDIYO LIMBUKENI UNAFIKIRI GARI NI KITU CHA MAANA SANA
We jamaa nakuona huna akili kabisa yaan kidupi wewe nimbumbumbu huyo warren ni mungu wako? Kwani mawazo yake ni msimamo wa ulimwengu mzima ?

Hala inaonesha hata uelewa wako ni mdogo sana na ndio maana hata hujaelewa tafsiri ya alicho kisema warren buffet

Buffet Kasema ukinunua usicho kihitaji sasa hadi mtu ana aamua kununua gari maana yake kalihitaji na uhitaji wa mtu haupimwi na mtu mwingine wewe sio mtu wa kujua muhitaji anahitaji gari au simu maana wewe sio sehemu ya uhitaji wake.

Lakini statement yako ya mwisho umenichekesha sana yan kifupi wewe ndiye unaonekana mshamba sana kwa kuona gari kama ni kitu cha maajabu sanaa wakati mimi naona ni kitu cha kawaida sana ndio maana siwazi kukimiliki.
 
Mkuu me nakushauri chukua ndinga hiyo vitz ya mwaka 2012 yenye 1.5L au IST 2007 sport limited 1.5L yenye fog light Kisha kausha.
Achana na hawa waganga wa kienyeji wanaokupigia ramri kuwa utashindwa.
 
Laki 4 unataka kununua gari..??? Au kuna kitu sielewi hapaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana akae ukopee ununue gari au
 
We jamaa nakuona huna akili kabisa yaan kidupi wewe nimbumbumbu huyo warren ni mungu wako? Kwani mawazo yake ni msimamo wa ulimwengu mzima ?

Hala inaonesha hata uelewa wako ni mdogo sana na ndio maana hata hujaelewa tafsiri ya alicho kisema warren buffet

Buffet Kasema ukinunua usicho kihitaji sasa hadi mtu ana aamua kununua gari maana yake kalihitaji na uhitaji wa mtu haupimwi na mtu mwingine wewe sio mtu wa kujua muhitaji anahitaji gari au simu maana wewe sio sehemu ya uhitaji wake.

Lakini statement yako ya mwisho umenichekesha sana yan kifupi wewe ndiye unaonekana mshamba sana kwa kuona gari kama ni kitu cha maajabu sanaa wakati mimi naona ni kitu cha kawaida sana ndio maana siwazi kukimiliki.
Pengine uko kwa shemeji yako ata hela ya kununua deodorant hauna na uko huko mpitimbwi ambapo hakuna ata gari ya kijiji
 
umasikini kwa sehemu kubwa unachangiwa na mtazamo hasi kuhusu matumizi sahihi ya resources. Warren Buffett aliwahi kusema hivi: Ukinunua vitu usivyohitaji sasa, utakuja kuuza vitu unavyohitaji baadae

MIMI NAONA WEWE NDIYO LIMBUKENI UNAFIKIRI GARI NI KITU CHA MAANA SANA
Mtu ana kipato cha laki nne kwa mwezi afu anataka kumiliki gari

Hii nchi uhuru umezidi kiwango...
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
wacha kupangia matumizi pesa ya mwanaume dogo
 
Kwani kaja kuomba msaada ya mafuta kwako? Au nyie kwenu kuwa na gari ni umilionea? Narudia tena mawazo ya kimaskini yanawasumbua wengi
Kuna mtu kazungumzia mafuta hapa? Au kiherehere kimekuzidi kiwango?
 
Mwenye kihere here zaid hapa ni nani, wewe unaye pangia watu matumizi kwenye pesa zao au mimi? Mnajifanya wawekezaji utafikiri mnajua hata kufuga njiwa?

Wacheni mtu achague atakacho na kinacho mfurahisha moyo wake, acheni kujifanya watoa semina za biashara kwenye pesa za watu maana hajaja kukuombeni mumshauri afanyie nini pesa zake kasema anataka gari full stope toeni ushauri kwa alicho omba acheni kukariri.
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Bajaj mkuu
 
Mwenye kihere here zaid hapa ni nani, wewe unaye pangia watu matumizi kwenye pesa zao au mimi? Mnajifanya wawekezaji utafikiri mnajua hata kufuga njiwa?

Wacheni mtu achague atakacho na kinacho mfurahisha moyo wake, acheni kujifanya watoa semina za biashara kwenye pesa za watu maana hajaja kukuombeni mumshauri afanyie nini pesa zake kasema anataka gari full stope toeni ushauri kwa alicho omba acheni kukariri.
Utoto una raha sana....
 
Mtu ana kipato cha laki nne kwa mwezi afu anataka kumiliki gari

Hii nchi uhuru umezidi kiwango...
Achen mambo ya kichawii toa ushauri kwa mifano dhahiri sio majungu ...mfafanulie kwann unaona gharama zitazidi kipato sio kubishana bishana wakati dunia tuliyo gari sio kitu cha Anasa zipo gari hadi za 3m na wakati huo huo kuna simu na tv za 3m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto hajawahi kumiliki ata baiskeli. Gari halimilikiwi kwa mihemuko, lina garama zake (open and hidden) . Kipato cha 400,000 kununua gari ni disaster if not a suicide
laki 4 kwa mwezi ni hardly 4.8M kwa mwaka. Yani mwaka mzima bado hujapata uwezo wa kununua gari....

Au sijui wqnazungumzia gari gani.... Isije ikawa wanazungumzia midoli

Hawa watoto bhana...
 
Achen mambo ya kichawii toa ushauri kwa mifano dhahiri sio majungu ...mfafanulie kwann unaona gharama zitazidi kipato sio kubishana bishana wakati dunia tuliyo gari sio kitu cha Anasa zipo gari hadi za 3m na wakati huo huo kuna simu na tv za 3m

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dogo.

Maliza kusoma kwanza afu utakuja kutuelewa wazazi wako tunamaanisha nini
 
Back
Top Bottom