Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

List ya magari bora ya muda wote kwa Mtanzania:

1.RAV4

2.Toyota Kluger

3.Honda CR-V

4.Subaru Forester

5.Suzuki escudo

6.Toyota Cami

7.Suzuki Kei

8.Suzuki Swift

9.Nissan X Trail

10.Terios kid

11.Harrier

12.Toyota Vanguard

13.

NB:Hizo namba hazionyeshi wala kumaanisha umuhimu wa gari,ni list tu.
Yaaan ukaiacha IST nembo ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesikia dogo.

Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.

Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?
[emoji23][emoji23]
 
Umesikia dogo.

Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.

Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?
Jamaa naona maneno mengiiii!!!! Wabongo hao banaaa kazi Yao kubwa ni kutishana Tu maishani.
Anampa maneno ya kuvunja moyo ili asimiliki gari
 
List ya magari bora ya muda wote kwa Mtanzania:

1.RAV4

2.Toyota Kluger

3.Honda CR-V

4.Subaru Forester

5.Suzuki escudo

6.Toyota Cami

7.Suzuki Kei

8.Suzuki Swift

9.Nissan X Trail

10.Terios kid

11.Harrier

12.Toyota Vanguard

13.

NB:Hizo namba hazionyeshi wala kumaanisha umuhimu wa gari,ni list tu.

Ongeza list ili mdau apate gari.
Mkuu hapo Kwenye namba 6, 7 na 8 ondoa na uweke Magari haya...
Toyota Carina Ti
Toyota raum na Toyota IST
 
List ya magari bora ya muda wote kwa Mtanzania:

1.RAV4

2.Toyota Kluger

3.Honda CR-V

4.Subaru Forester

5.Suzuki escudo

6.Toyota Cami

7.Suzuki Kei

8.Suzuki Swift

9.Nissan X Trail

10.Terios kid

11.Harrier

12.Toyota Vanguard

13.

NB:Hizo namba hazionyeshi wala kumaanisha umuhimu wa gari,ni list tu.

Ongeza list ili mdau apate gari.
Alto
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Kwa kipato hicho

Corolla 111[selection]
Carina Ti
Corona Premio
Rav 4
Cami.

Hizo gari zinavumilia sana rough road.
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako

Aya mambo aya masikini tunajiweka nyuma sana...
 
Mkuu mimi siyo mpenzi wa Sedan wala hatchbacks.Mimi ni mpenzi wa SUV mid-size,SUV crossovers pamoja na SUV mini.
Basi usingeandika "List ya magari bora ya muda wote kwa Mtanzania" bali ungeandika kuwa hiyo ni List ya magari bora ya muda wote ~Behaviourist
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Tafuta Toyota succeed au Toyota pro box ni gari imara Sana.
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Nilitaka kusema hivyo pia; kasema kipato chake ni Tsh 400k kwa mwezi; ukweli sioni kama ni deal kwake kua na gari, afanye mambo mengine
 
Back
Top Bottom