mkuu uvumilivu wa toyota cami unaweza fikia ule wa suzuki jimny?Kwa kipato hicho
Corolla 111[selection]
Carina Ti
Corona Premio
Rav 4
Cami.
Hizo gari zinavumilia sana rough road.
Shida ya hii gari bei.Chukua Jimny mkuuView attachment 1875452
Mchagga wa Marangu unaogopa bei?Shida ya hii gari bei.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jaribu altezza
Mawazo ya kimaskini haya waweza wekeza hela yako huko na biashara isiende na hiyo hela isizalishe na mtaji ukayeyuka pia , achaneni kwanza na mawazo ya kuamini kuwa gari ni anasa wakati uwezo wa kununua gari dogo kwa kipato chako unao. mbona zipo gari zinazo himilika kwa watu wa kipato cha juu na kati?Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Mkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).Nilikuwa nataka feedback ya kile kiti.Subaru Forester ni bonge la gari ila sasa changamoto ni kile kiti cha dereva.
2.5 XT toleo la 2008-2012 hii chukua mkuu bila kuhoji hoji mala mbili mbiliMkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).
Maana nimezielewa sana na kibubu changu kimefikia hatua nzuri soon nawagongea hodi beforward.
Sawa mkuu ngoja nimalizie kuzichanga, nimeshtuka sana kusikia kuna changamoto kwenye kiti cha dereva. I hope spear parts za hii kitu sio issue sana hapa mjini.2.5 XT toleo la 2008-2012 hii chukua mkuu bila kuhoji hoji mala mbili mbili
Gari hazina shida, huyo mwenye changamoto ya siti huenda ikawa ni gari yake tuSawa mkuu ngoja nimalizie kuzichanga, nimeshtuka sana kusikia kuna changamoto kwenye kiti cha dereva. I hope spear parts za hii kitu sio issue sana hapa mjini.
IST ni uchafu wa Taifa!Heri niendeshe Terios Kid kuliko IST.
Wapi nimezungumzia mambo ya common?Hivi Gari ikiwa common ndo inakua mbaya au ? Huu nao ni ujinga wa kimawazo
Mimi najua kitu kikiwa common means ni kizuri kinavutiwa na watu wengi
Siti yake ya dereva imebonyea ndani sana kiasi kwamba ukikaa ni unaegemea sana ndani,yaani kiti kinakumeza kama unavyoona hiyo picha.Kwenye safari ndefu unakuwa unachoka sana kwa sababu muda wote unakuwa umemezwa ndani.Mkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).
Maana nimezielewa sana na kibubu changu kimefikia hatua nzuri soon nawagongea hodi beforward.
Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukaraMawazo ya kimaskini haya waweza wekeza hela yako huko na biashara isiende na hiyo hela isizalishe na mtaji ukayeyuka pia , achaneni kwanza na mawazo ya kuamini kuwa gari ni anasa wakati uwezo wa kununua gari dogo kwa kipato chako unao. mbona zipo gari zinazo himilika kwa watu wa kipato cha juu na kati?
kama una familia gari ni hitaji muhimu sana mambo ya mtoto joto limepanda usiku na nje kuna mvua boda boda anakwambia hadi mvua iishe ni mateso sana, mtoto anakufia mkononi eti kisa majirani wenye magari tena gari zenyewe suzuki kei 650cc 😅 hawapokei simu yako kisa wamelala ni ujinga wa kufikiri
Hadi mtu anawaza kununua gari kashajipima na kujiona ana uwezo wa kulihimili sasa wewe ni nani hata umpangie mtu vitu vya kumiliki ?Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukara
unless labda uwe mrefu. kwa wale warefu hii seat ya kawaida sanaSiti yake ya dereva imebonyea ndani sana kiasi kwamba ukikaa ni unaegemea sana ndani,yaani kiti kinakumeza kama unavyoona hiyo picha.Kwenye safari ndefu unakuwa unachoka sana kwa sababu muda wote unakuwa umemezwa ndani.
View attachment 1875785
Hahaha jamaa una makavuUmesikia dogo.
Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.
Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?