Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

Ignas mgaya

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Habari zenu,

Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
20240324_143516.jpg
 
Hujatoa taarifa za kutosha kusaidiwa. Taa hizo huwaka kwa gari lolote linapowekewa ufunguo
 
Back
Top Bottom