Gari hizi zinauzwa bei nafuu landcruiser 55m, harrier anaconda 50m, v8 vxr lc 300 mpya bei 750m

Gari hizi zinauzwa bei nafuu landcruiser 55m, harrier anaconda 50m, v8 vxr lc 300 mpya bei 750m

Kumbe unaweza ukauza LC300 ukaenda kufungua kampuni yako ya spacial hire mpya kabisa hata 4
 
Bei za magari Tanzania ni kubwa kwa sababu ya kodi ipo juu ila hakuna uhalisia wa magari yenyewe na hela mfano land cruiser coil ya 2002 kuuzwa 55m ni utani sana huo au LC 300 eti 750 au B value for money hapo haipo aisee..
 
Hio lc300 mbona bei ndogo sana utapata faida kweli mkuu?? Au unatoa tu huduma?? Hio ungeuza mil 900 angalau!
 
Back
Top Bottom