Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

Kweli wewe ni mtaalam
 
Mkuu za siku yangu mimi kuna muda nikiiwasha ukikanyaga moto hairespond hapo hapo baada ya muda kama sekunde 10 hivi ndo inakubali shida ni nini?ipsum vvti
 

Uko sahihi, niliwahi kuona gari ya jamaa ilikua ikifika mlimani inashtuka au akipanda tuta akimaliza wakati wa kuanza kuchanganya inashtuka, fundi akasema pampu ikafungwa fuel pampu mpya tatizo halikuisha lakini baadae plug zilipobadilishwa na tatizo likaisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…