Car4Sale Gari inauzwa Mitsubishi Pajero (2004)

Car4Sale Gari inauzwa Mitsubishi Pajero (2004)

Bei ya soko ni hii. So kwa wale wanaohisi nauza kwa bei ya kawaida , tafakarini tena. [emoji23][emoji23][emoji23] halafu msiogope hizi brand names. Gari ni gari tu, hizi gari ni ngumu sana, safari ipo na zinakwenda kwa mazingira ya Tanzania utaipenda. Kama haipendi magari ndio itakushinda na sidhani hata gari zingine utaziweza maana mtu ambaye hajui kutunza magari ni hajui tu hata umpatie gari gani.
 
1
Screenshot_20230922-100457.jpg
 
Tazama hapo juu nimetuma bei ya wastani ya hizo gari uone bei yake sokoni. Inauzwa haraka kwasababu kuna gari mpya imeagiziwa hii inauzwa ili kujazia pesa za kulipia hiyo mpya ndio maana inauzwa milioni 15 otherwise hiyo sio bei yake so kwa yeyote atakayeilipia hii mapema, utakuja kuhadithia wenzako namna ulipata zali.
 
Back
Top Bottom